HOT NEWSS::NDEGE ILIYOMBEBA WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR YAANGUKA PEMBA
Ndege
ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya
abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na
Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka salama.
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment