MKURUGENZI
wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),
Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa
inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam.
Liyumba
ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi
hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo
imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20
No comments:
Post a Comment