Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 11, 2014

MATEMBEZI YA HIYARI KWA MIGUU DAR MPAKA MORO YAANZA RASMI LEO


001Mratibu wa matembezi ya hiyari kwamiguu yajulikanayo kwa jina la , Matembezi ya Nchi Yangu Wajibu Wangu Utaifa Kwnza”Bw, Matukio Chuma (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa matembezi hayo kabla yakuanza matembezi kueleke Mkoa wa Morogoro yalionzia Mbezi jijini Dar es Salaam leo Januariy 11- 2014 ya kilometa 200 yatakayochua siku kumi (kushoto), Mwanakikundi kutoka Umoja wa vijana,Bw Athumani Ali ambae anawakilisha wanachama wenzie wapatao 80 (kulia), Mwanafunzi kutoka Shule ya St Joseph Univerty Bw Joseph Serengeta akiwakilisha wanafunzi wa shule hiyo. Kwa  mujibu wa muandaaji Bw, Matukio Chuma lengo la matembezi hayo yamelenga kuenzi mchango mkubwa na kuthamini kujitoa mhanga kwa waanzilishi wa utaifa wetu, (Hayati) Mwl Julius Kambarage Nyerere, Abeid Amani Karume, Edward Moringe Sokoine na wengineo ambao walisimama kidete na leo tukawa na taifa likaitwa Tanzania.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
  002Hapa safari imepambamba moto Dar mpaka Moro eneo la Kibaha. 003Hapa safari imepambamba moto Dar mpaka Moro eneo la Kibaha.
004Mratibu wa matembezi ya hiyari Matukio Chuma. 005Joseph 

Serengeta mshiriki. 006 
Athumani Ali mshiriki.

No comments:

Post a Comment