Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 22, 2014

MTOTO AUWAWA NA KUTUPWA PEMBENI YA SOKO LA WAKULIMA KAHAMA

TUKIO LA KUSIKITISHA NA KUHUDHUNISHA SANA KTK YA MJI WA KAHAMA UNGELIONA LIVE LAZIMA ULIE BINADAM WENGINE NI ZAIDI YA WANYAMA TAZAMA MAITI HII YA HUYU MTOTO MDOGO YAKUTWA MAENEO YA SOKO LA WAKULIMA PEMBENI MWA NYUMBA ZA NATIONAL HOUSE MDA HUU TUKIO LINA HISIWA KUFANYIKA USIKU WA KUAMKIA JANA NA  ASIKARI  WAMECHUKUWA MWILI WA MAREHEMU.
WAKAZI WA KAHAMA WAKIANGALIA TUKIO HILO.

UMATI WA WATU UKIJAA ILI KUWEZA KUMTAMBUA MTOTO HUYO.

No comments:

Post a Comment