Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Olegabriel akimkaribisha Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia katika tukio la
kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam jana
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania Bwana Clement Mshana
(kushoto) akimpongeza Mheshimiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia wakati wa mapokezi
yake katika Ofisi za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam Leo katikati
ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof. Elisante Olegabriel
Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa
Juma Nkamia akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Bwana Kulwa
Magingila wakati wa mapokezi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
leo kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fennela
Mukangara akimkaribisha Naibu Waziri Mheshimiwa Juma Nkamia katika Ofisi
za Wizara zilizopo katika jengo la Mfuko wa Pensheni wa PSPF jijini Dar
es Salaam jana.Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara akiongea
na Wanahabari akiongea na Wanahabari wakati wa mapokezi ya Naibu Waziri
Mheshimiwa Juma Nkamia jijini Dar es Salaam leo wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bwana Raphael Hokororo.Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa
Juma Nkamia akiongea na Wanahabari Ofisini kwake katika tukio la
kumkaribisha lililofanyika jijini Dar es Salaam leo kulia ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara Prof Elisante Olegabriel
No comments:
Post a Comment