Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 16, 2014

NEMANJA MATIC AREJEA CHELSEA

Kiungo raia wa Serbia Nemanja Matic amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu.

Chelsea imekamilisha uhamisho wa kiungo raia wa Serbia Nemanja Matic kutoka klabu ya Benfica ya Ureno.
Matic ambaye anarejea Chelsea baada ya kuihama akiwa ni sehemu ya uhamisho wa beki David Luiz,amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 21.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 tayari amekabidhiwa jezi namba 21.

No comments:

Post a Comment