Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, January 5, 2014

PICHA: Mwili wa Dk. Mgimwa wawasili Iringa, wapokelewa na Waziri Mkuu


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa  kwa ajili ya mazishi  yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga Desemba  6, 2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa  aliyekuwa  Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwaukishushwa kwenye ndege tayyari kwa mazishi yatakayofanyika kesho kijijini kwake Magunga

No comments:

Post a Comment