Rais
Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya
kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku
wa kuamkia leo Januari 23, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza
Mhe. Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika hoteli ya
Sheraton Davos, Uswisi leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kiwete alipokutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti
na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton
Davos, Uswisi, leo.
Picha
juu na chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya
mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani
(USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi leo.
Rais
Jakaya Kikwete akishangiliwa baada ya kuhutubia wakati wa mkutano wa
kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda
maji na salama kwa miaka ijayo katika hoteli ya Derby huku Davos
Uswisi leo. (PICHA NA IKULU).
No comments:
Post a Comment