Jeshi la Polisi lawatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi watiifu wa
chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuhairisha
kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama chake.
DAR ES SALAAM KUPOKEA MWENGE WA UHURU APRIL 13, 2026
-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka wananchi wa
Mkoa huo kujitokeza katika mbio za Mwenge wa Uhuru unaotarajia kuwasili
jiji...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment