Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Profesa Jeffrey Sachs usiku wa juzi,
Jumatano, Januari 22, 2014, wakati wa mjadala kuhusu jinsi ya kuongeza
kasi ya mafanikio katika kilimo cha Afrika kwenye Chakula cha Usiku
kilichoandaliwa na Taasisi ya Kilimo ya Grow Africa mjini Davos, Uswisi,
ikiwa ni moja ya shughuli za Mkutano wa Mwaka 2014 wa Taasisi ya Uchumi
Duniani (WEF). Katikati ni Waziri wa Kilimo wa Nigeria Mhe Dr. Akinwumi
Adesina.
Picha na IKULU
SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUBADILISHA ARDHI KUWA MALI KUPITIA UWEKEZAJI
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo,
akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya uhamasishaji
uwekezaji...
20 minutes ago


No comments:
Post a Comment