Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen wakati alipowasili katika ukumbi wa
mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini
Dar es Salaam, wakati Serikali za nchi hizo mbili ziliposaini Mkataba
wa Makubaliano ya Kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na Waziri
Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen kabla ya kutiliana na saini Mkataba wa
Makubaliano ya Kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi
wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam .
Waziri
Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen akizungumza na wadau wa sekya ya
Madini wa Serikali ya Tanzania na Finland, wawakilishi wa taasisi za
jiolojia na wadau wa sekta hiyo kutoka nchi hizo mbili, kwenye ukumbi wa
mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Nje wa Wakala wa Jiolojia wa Finland(GTK), Mika Raisanen akizungumza
na wadau wa sekta ya Madini kutoka Tanzania na Finland kabla ya
kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano ya kufanya Miradi ya Pamoja ya
Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency,
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam .
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim Mruma
akizungumza na wadau wa Sekta ya Madini kutoka Tanzania na Finland,
kabla ya kutiliana na saini Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi ya
Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt
Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam .
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na wadau wa
Sekta ya Madini kutoka Tanzania na Finland, kabla ya kutiliana na saini
Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini
kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini
Dar es Salaam .
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim
Mruma(aliyekaa kushoto ) na Mkurugenzi wa Wakala wa Jiolojia wa Finland
(GTK), Mika Raisanen, wakisaini Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi
ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya
Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam . Nyuma yao ni Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na Waziri Mkuu
wa Finland, Jyrki Katainen wakishuhudia utiaji saini huo.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim
Mruma(aliyekaa kushoto ) na Mkurugenzi wa Wakala wa Jiolojia wa Finland,
Mika Raisanen, wakibadilishana Mkataba wa Makubaliano wa kufanya Miradi
ya Pamoja ya Sekta ya Madini kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya
Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa pili kushoto) akiwa
na mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen ( kushoto kwake)
wakiwa katika meza kuu.Wengine ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Jiolojia Tanzania (TST) Abdulkarim Mruma( wa kwanza kushoto) na mwisho
ni Mkurugenzi wa Nje wa Wakala wa Jiolojia wa Finland, Mika Raisanen.
Waziri
wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi
wa habari baada ya Serikali za Tanzania na Finland kutiliana na saini
Mkataba wa Makubaliano ya kufanya Miradi ya Pamoja ya Sekta ya Madini
kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, Kilimanjaro jijini
Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment