Kijana Zakaria Ulaya amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Tabora mjini akituhumiwa kwa kosa la kmbaka mwanafunzi wa Shule ya msingi Gongoni tukio ambalo lilifanyika huko kata ya Ipuli manispaa ya Tabora,akisomewa maelezo ya kosa Zakaria amekana kuhusika na tukio hilo,hata hivyo amerjeshwa mahabusu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya dhamana ambapo walihitajika watu wawili ambao wangeweza kumdhamini kwa fedha zenye thamani ya shilingi milioni tatu kila mmoja.Kesi hiyo itatajwa tena mnamo tarehe 12 March mwaka huu.chanzo kapipij blog
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment