Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 7, 2014

AJALI YATOKEA ENEO LA VINGWAZA, RUVU NA KUSABABISHA KUFUNGA NJIA

Ajali ya Magari mawili likiwemo lori la Mafuta na Lori la Mizigo lililotokea eneo la Vigwaza eneo la Ruvu mchana wa leo, Ijumaa Feb 7, 2014 ambapo magari hayo yamefunga njia na kusababisha usumbufu mkubwa. Wakizungumza kwa namna tofauti mashuhuda wa ajali hiyo toka eneo la tukio wamesema magari hayo yaligongana wakati yakipishana na kusababisha kufunga njia.
Kila mmoja akitahamaki asielewe la kufanya, huku juhudi za kuondoa magari eneo la tukio likiendelea.
Taharuki kwa wananchi waliokuwa eneo la tukio. Picha kwa hisani ya Mdau Saphina wa Kajunason Blog

No comments:

Post a Comment