Wawakilishi
wa Tanzania, timu ya soka ya Azam FC imetupwa nje ya michuano ya Kombe
la Shirikisho barani Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0
kutoka kwa timu ya Ferroviario ya Msumbiji muda mfupi uliopita mjini
Maputo. Kwa matokeo hayo, Azam imeyaaga mashindano hayo kwa kufungwa
jumla ya mabao 2-1. Katika mechi ya kwanza, Azam ilishinda bao 1-0
katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
SERIKALI KUIFUNGUA PEMBA KIUTALII
-
Na. Mwandishi wetu, Pemba
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, Mh. Hamad Hassan Chande (Mb),
amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment