Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga, Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo alipofika kujitambulisha .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TUME YATOA NENO KWA WAANDISHI WASAIDI NA WAENDESHA VIFAA VYA BVR MBEYA
-
*Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa)
Jacobs Mwambegele, akikagua mafunzo kwa vitendo ya Waandishi wasaidizi na
waendesha...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment