Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 14, 2014

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA AFUNGUA MKUTANO WA KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA

TA1A3727Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3741Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3769Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiashiria jambo wakati wa akiufunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano  katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania katika ukumbi wa White sand jijini  Dar es Salaam,uliowashirikisha wanasiasa,Mashirika ya Kijamii na Viongozi wa Dini mbali mbali nchini.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

TA1A3786Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili  kuhusu tafakuri na maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufunga mkutano  uliowashirikisha watu mbali mbali wakiwemo  Wanasiasa,Viongozi wa Dini na Mashirika  ya Kijamii Nchini. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]TA1A3877Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Hoteli ya Whitesand Jijini Dar es Salaam,kuufunga mkutano wa siku mbili wa  Tafakuri na maridhiano katika  kuelekea Katiba mpya ya Tanzania leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] TA1A3904Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia  Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph Mbatia  baada ya kuufunga mkutano wa siku mbili wa Tafakuri na Maridhiano katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania,Ukumbi wa Whitesand Jijini Dar es Salaam leo jioni. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment