Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, February 9, 2014

HII NDIO NOTI MPYA YA $100 AMBAYO IMEANZA KUTUMIKA NCHINI MAREKANI


Kutokea katika mtandao wa kimataifa unaojulikana kama Voice Of America VOA siku ya jana october 9 ulitangaza rasmi kuwa noti mpya ya dola Mia ($100) za kimarekani ni imekwisha anza kutumika rasmi.

Utengenezaji wa noti hizi mpya ni umetengenezwa maalumu ili kukabiliana na wimbi la ongezeko la noti za Bandia.

No comments:

Post a Comment