Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akishuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Mwanza jioni ya leo,tayari kwa ufunguzi Kongamano la uwekezaji kwa Kanda
ya Ziwa,linaotarajiwa kuanza kesho kwenye Hoteli ya Malaika jijini
Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akisalimiana na Naibu Waziri wa Madini,Mh. Charles Kitwanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC)
ambao ndio waratibu wa Kongamano hilo,Bi. Julieth Kairuki,wakati wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza jioni ya leo.Makamu wa Rais
yupo jijini Mwanza kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Uwekezaji kwa
Kanda ya Ziwa,linalotarajiwa kuanza kesho kwenye Hoteli ya
Malaika,jijini humo.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Everist Ndikilo (kulia) akizungumza jambo na Mkuu
wa Mkoa wa Kagera,Kanali Mstaafu Fabian Massawe wakati walipotembelea
hoteli ya Malaika kukagua maendeleo ya Maandalizi ya Kongamano hilo
litakalofunguliwa na Makamu wa Rais,Dkt. Mohammed Ghalib Bilal.Katikati
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) ambao ndio waratibu wa Kongamano hilo,Bi. Julieth Kairuki
No comments:
Post a Comment