Katibu
Tawala Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa
gari jipya lenye usajili namba DFPA 160 kwa Kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Manispaa ya Songea Naftari Saioloyi (kulia).Gari hilo
limetolewa ikiwa ni msaada kutoka Shirika la Waltereed Program kwa
ajili ya kuboresha huduma za UKIMWI .Makabidhiano hayo yamefanyika leo
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Katibu
Tawala Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko akiwasha gari hili lililotolewa
kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa ufadhili wa shirika la
Waltereed Program kusaidia huduma za UKIMWI.Hii ni kuashiria kuwa gari
lipo tayari kwa huduma zilizokusudiwa.
Gari
jipya lenye namba DFPA 160 lililokabidhiwa kwa Halmashauri ya Manispaa
ya Songea kwa ajili ya kuboresha utoaji huduma za UKIMWI.Gari hili
limetolewa kwa msaada wa shirika la Waltereed Program linalojihusisha na
mapambano ya kudhibiti UKIMWI kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.

No comments:
Post a Comment