skip to main |
skip to sidebar
MEYA WA KINONDONI YUSUPH MWENDA AKUTANA NA WATENDAJI TOKA KATA 34 NA MITAA 171
Mstahiki meya wa manispaa ya Kinondoni ndugu Yusuph Mwenda
akiwa na mkurugenzi wa manispaa Eng mussa natty siku ya jumamosi
walipokuwa wakizungumza na Watendaji toka kata zote 34 na Mitaa yote 171
katika manispaa ya Kinondoni jambo kuu lilikuwa ni kuzungumzia swala
zima la ukusanyaji wa kodi ya majengo (property Tax) ambapo kodi hii
kwa sasa inakusanywa na halmashauri usika na si TRA kama ilivyokuwa
zamani (swali tuulize kupitia info@kinondonimc.go.tz)
No comments:
Post a Comment