Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 21, 2014

MKUTANO WA WADAU WA TEHAMA WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM


01 SAYANSIKaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo akiogea na wadau wa Tehama wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao jana jijini Dar es salaam.02 SAYANSIMtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabir Bakari akitoa mada kuhusu matumizi ya “Broadband” katika shughuli za Serikali wakati wa mkutanao wa wadau wa Tehama nchini katika ukumbi wa NSSF Waterfront jana jijini Dar es salaam.
03 SAYANSIKaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mkutano na wadau wa Tehama nchini jana jijini Da es salaam.04 SAYANSIKaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mkutano na wadau wa Tehama nchini jana jijini Da es salaam.05 SAYANSIKaimu Mkurugenzi wa ICT Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ally Simba (kulia) akifafanua jambo kwa washiriki wa mkutanao wa wadau wa Tehama nchini katika ukumbi wa NSSF Waterfront jana jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Smile Communication Tanzania Ltd Mark Redman, na wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Operesheni Mfuko wa Huduma za Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Albert Richard.06 SAYANSIMkuu wa kitengo cha cha ICT Broadband cha Taifa-TTCL Adin Mgendi  akitoa mada juu ya Wakati ujao tunaotaka kuuona wakati wa mkutanao wa wadau wa Tehama nchini leo katika ukumbi wa NSSF Waterfront jijini Dar es salaam na kubainisha kuwa TTCL imepanua wigo wa kutoa huduma ya mtandao wa mawsiliano(internet) ndani na nje ya nchi, katika nchi jirani zinazonufaika na huduma hiyo ni Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi na Zambia.07 SAYANSIBaadhi  ya wadau wa Tehama  nchini wakifuatilia na kumsikiliza Mgeni rasmi  Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. John Mngodo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau hao jana jijini Dar es salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment