| MKUU wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa akisisitiza jambo kwa wananchi wa Kijiji cha Lusanga kata ya Mnyuzi wilayani Korogwe kilichokumbwa na maafa ya wananchi wake kuezuliwa mabati kwenye nyumba zao katika kaya 83 wilayani humo, uliotokana na upepo mkali ulio ambatana na mvua juzi kushoto ni Afisa Rasilimali wa Kiwanda cha Unga cha Pembe jijini Tanga Bw. Salele Masoud na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Mrisho Gambo. Kwa hisani ya Tanga Raha Blog |
KUJENGA UTAALAMU: TAEC YAWAFUNDISHA WATAALAMU 50 KUHUSU USALAMA WA MIONZI
KATIKA SEKTA YA AFYA
-
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imefanikisha kuendesha mafunzo ya
kitaifa ya siku nne kuhusu usalama wa mionzi ya mashine za X-Ray na vyanzo
vingin...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment