mwanamuziki mashuhuri katika Tasnia ya muziki wa injili hapa
nchini Jessca Hanole maarufu kama Jesca Bm, Ameachia rasmi video yake mpya ya injili ijulikanayo kwa jina la Baraka za ibrahimu chini ya kampuni ya onyango production.Itazame video hiyo hapo chini
MIXX, SERIKALI YA ZANZIBAR KUSHIRIKIANA KULETA MAPINDUZI YA KIDIJITALI KWA
VYAMA VYA USHIRIKA
-
Na Mwandishi Wetu
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema matumizi ya teknolojia katika
sekta ya ushirika yataongeza uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji...
54 minutes ago

No comments:
Post a Comment