Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
FULL TIME : JKT RUVU 3 SIMBA 2
Mchezaji
wa Timu ya JKT Ruvu, Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa
timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu
yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara, unaoendelea
hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. hadi mapumziko
Simba wamelala kwa Bao 2 - 0. kipindi cha pili kimeanza hivi punde na
tutaendelea kujuzana kinachojili.anafunga goli la tatu hapa
No comments:
Post a Comment