Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalokuwa likitinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
NEWZ ALERT : LORI LAUA 11 WALIOKWENDA KUSHUHUDIA AJALI SEGERA.
-
Na Oscar Assenga, Handeni.
WATU 11 wamefariki dunia wa Kijiji cha Chang’ombe kilichopo Kata ya Segera
wilayani Handeni Mkoani Tanga baada ya kugongwa na...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment