Baadhi
ya watu waliokwama kijiji cha Fulwe kata ya Mikese mkoani Morogoro
wakiangalia mwili wa dereva wa lori lililobeba shehena ya mafuta
lililokuwa likitoka Dar kueleka upande wa Morogoro, ukiwa umeteketea
vibaya kwa moto baada ya ajali.
(PICHA NA DUSTAN SHEKIDELE / GPL, MOROGORO


No comments:
Post a Comment