Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 21, 2014

UJUMBE WA KAMPUNI YA MAHINDRA & MAHINDRA WAKUTANA NA RAIS SHEIN ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd,kutoka India ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi.ujumbe huo unaoongozwa Bw.Sanjay Jadhar, ulifanya mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Sanjay Jadhar, Kiongozi wa Ujumbe wa Kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd,kutoka India walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na kufanya mazungumzo na Rais.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment