Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 19, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 19/02/2014

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 19/02/2014.
 [Mikoa ya Iringa,  Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
 [Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mkoa wa Morogoro (kusini)]:



Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kagera, Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Lindi, na Mtwara]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi i vya jua

[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba]:  



Hali ya Mawingu kiasi,  mvua nyepesi  katika maeneo machache na vipindi vya  jua
TAHADHARI:
  1. UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MWAMBAO WOTE WA PWANI (LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).

  1. VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA: IRINGA, MBEYA, MOROGORO, RUVUMA, RUKWA, ARUSHA, MANYARA, KILIMANJARO, DODOMA NA SINGIDA.

 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C                          
16°C               
12:42
12:53
D'SALAAM
31°C           
24°C
12:28
12:46
DODOMA
29°C
20°C
12:42
01:00
KIGOMA     
29°C
20°C
01:07
01:22
MBEYA
24°C
16°C
12:49
01:11
MWANZA
28°C
19°C
12:57
01:07
TABORA
30°C
19°C
12:55
01:10
TANGA
30°C
25°C           
12:30
12:45
ZANZIBAR
30°C           
25°C           
12:28
12:46

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa;  kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya
                             Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 21/02/2014: Mabadiliko kidogo.  

 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 19/02/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment