Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 10, 2014

VIGOGO TBA WAHUKUMIWA MIAKA 9 JELA‏ KWA KURUHUSU JENGO REFU KUJENGWA KARIBU NA IKULU

 
Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! (Picha na Maktaba).

VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar!


-gpl

No comments:

Post a Comment