Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 14, 2014

WADAKWA NA MENO YA TEMBO WILAYANI NAYUMBU MKOA WA MTWARA YENYE UZITO WA KG 130.6

Watuhumiwa wa usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani
Nanyumbu Mkoa wa Mtwara  yenye uzito  wa kg 130.6 yenye thamani ya
Tshs Milioni 7.35 katika  Hamidu Ngunde (40) wa pili ni Boniphace
Msogo (29) na Geddat Mmuni (36) ote wakazi wa Jijini Dar es Salaam
wakiwa ndani ya gari la polisi baada ya kumaliza upimaji wa uzito .
(Picha na Thomas Dominick)

Watuhumiwa wa usafirishaji wa Meno ya Tembo ambao wamekamatwa wilayani
Nanyumbu Mkoa wa Mtwara wakiwa wanaangalia upimaji uzito wa meno hayo
yenye uzito  wa kg 130.6 katika ghala lililopo makao makuu ya wilaya hiyo mjini Mangaka kutoka kulia
ni Hamidu Ngunde (40) wa pili ni Boniphace Msogo (29) na Geddat Mmuni
(36)w ote wakazi wa Jijini Dar es Salaam...
 

No comments:

Post a Comment