Meneja wa bandari Awadhi Masawe akimsikiliza waziri wa biashara ya nje kutoka uholanzi wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam le kushoto ni kaim mkurugenzi wa bandari Madeni kipande |
Waziri wa Biashara ya nje kutoka nchini Uholanzi Lilianne akisisitiza jambo kwa meneja wa bandari Awadhi Masawe wakati alipotembelea bandari ya Dar es salaam kuangalia sehemu picha akitoka katika sehem ya KOJ wanakopakia mafuta na kupokealeo waziri huyo alifuatana ujumbe wake ambao ni wafanyabiashara |
No comments:
Post a Comment