Hakikisha unaoga kila siku ili kupunguza idadi ya bakteria chini ya makwapa, ambayo husababisha kuweka harufu mbaya kwenye mwili. Wakati wa majira ya joto, ambapo ni wakati jasho linakutoka mara kwa mara na husababisha jasho na harufu chini ya kwapa hivyo unahitaji kuoga mara mbili kila siku na sabuni antibacterial na maji moto.
Wakati unafanya mazoezi tumia nguo zenye vitambaa ambavyo vitanyonya unyevu mbali na makwapa ili kuzuia harufu mbaya.
Vinega, Witch Hazel na Tea Tree Oil
Apple cider siki, vinega nyeupe na witch hazel kupunguza harufu kwenye makwapa kwa kupunguza pH kwenye ngozi. Bakteria wanaosababisha harufu kwenye makwapa hawezi kuishi wakati pH wa ngozi ikiwa ni ndogo. Ili kukabiliana na harufu, loweka pamba katika vinega au witch hazel na kupaka katika makwapa badala ya, au kabla, deodorant. Tea Tree Oil inaweza pia kuwa na manufaa kutokana na tabia yake ya antibacterial.
Limau
Kata Limao au ndimu nusu kwa kisu chenye ncha kali.Paka kipande cha limau ulichokata kwenye kwapa lao na kahihisha unalissueeze mpaka litoe maji yake.Weka makwapa yako yapate hewa, ili hiyo juice ya limau uliyopaka ikauke
No comments:
Post a Comment