Diamond Platinumz atajwa kuwania tuzo za kimataifa za Kora Music Awards
Msanii Diamond Platnumz, ameendelea kuchana mawimbi katika anga la
muziki hususan kwa upande wa Afrika ambapo amefanikiwa kuingia katika
orodha ya wasanii 20 Bora ambao wanafanya vizuri Afrika, ambao wataingia
katika kinyanganyiro cha kuwania tuzo za Kora.
Diamond katika
orodha hii, anatokea sambamba na majina ya wasanii wakubwa Afrika, kama
vile Oliver Mtukudzi, Fally Ipupa, Mafikizolo pamoja na wakali wengine
wa muziki barani Afrika
DET YAFANYA MKUTANO WA BIASHARA YA UTALII DAR ES salaam
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv
IDARA ya Uchumi na Utalii ya Dubai (DET) imefanya mkutano wake wa kila
mwaka wa biashara ya utalii jijini Dar es Salaam, ukiw...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment