Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akizungumza na wanawake mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi
wa Bonanza la Mpira wa Kikapu lililoandandiliwa na Shirikisho la Mpira
wa Kikapu Tanzania (TBF) leo jijini Dar es Salaam katika viwanja vya
DUCE. Kushoto ni Mkuu wa Kitivo cha Sayansi chuoni hapo Dkt. Constansia
Rugumamu na kuli ni Kamishina wa wanawake TBF Bi. Angella Grolia Bondo.Kamishina
wa wanawake TBF Bi. Angella Grolia Bondo akitoa maelezo kuhusu Bonanza
la Mpira wa Kikapu lwaliloandaa kwa ajili ya kuadhimisha siku ya
wanawake dunia,Mwenye koti jeupe ni jijini Dar es Salaam katika viwanja
vya DUCE. Kushoto ni Mkuu wa Kitivo cha Sayansi chuoni hapo Dkt.
Constansia Rugumamu na kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Dkt. Fenella Mukangara ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika
bonanza hilo.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
(kushoto)akifurahia zawadi ya picha yake ambayo imetolewa na Mwenyekiti
wa Baraza la Miochezo la Taifa Bw. Dioniz Malinzi (hayupo pichani) na
kukabidhiwa kwa niaba yake na Kamishina wa wanawake TBF Bi. Angella
Grolia Bondo leo jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara uwanjani tayari kwa kuzindua rasmi bonanza hiloWaziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara kwa
makini maelezo kuhusu huduma za NSSF (ambao ndiyo wadhamini wa bonanza
hilo)kutoka kwa Afisa Uhusiano wa shirika hilo Bi. Maife Kapinga mara
baada ya kuwasili uwanjani tayari kwa kufungua bonanza leo jijini Dar es
Salaam.. NSSF ndiyo wadhamini wakuu wa bonanza hiloWaziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akikagua
wachezaji wa timu ya Don Bosco Lioness kabla ya mchezo wao kuanza.
Mechi ya ufunguzi wa bonanza ilikuwa kati ya Jeshi Star na Don Bosco
Lioness ambapo hadi mchezo unamalizika Don Bosco Lioness waliibuka
kidedea kwa jumla ya Vikapu 23 dhidi ya 19 vya Jeshi Star.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akipiga shot kuashiria ufunguzi rasmi wa bonanza hilo
Picha zote na Frank Shija – WHVUM
No comments:
Post a Comment