Wajumbe wa Bunge
Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi
wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la
Katiba leo Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum
la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu
Steven Wassira akiwaeleza jambo Wajumbe wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu
Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda
wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa
kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.

kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma. PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
No comments:
Post a Comment