Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 12, 2014

MRADI WA MAJI MBAGALA KUU WAZINDULIWA

IMG_0008 (1) 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakizunguka kuangalia mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0025 (1) 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko (katikati) akiwa na Balozi wa Ubelgiji Tanzania, Koen Adam (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo na Ushirikiano Wizara ya Mambo ya Nje Ubelgiji, Peter Moors (kushoto) wakikata utepe katika uzinduzi wa mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0052 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko akiinua ndoo kwaajili ya kumtwisha mmoja wa wakazi wa Mbagala Kuu baada ya kuzindua mradi huo.
IMG_0092 
Wageni waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0135 
 Mratibu wa mradi wa maji Mbagala Kuu, Inj. Zefania Mihayo akisoma taarifa ya mradi huo mara baada ya uzinduzi.
IMG_0228 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa maji Mbagala Kuu.
IMG_0238 
Tanki la maji la mradi wa maji Mbagala Kuu.


No comments:

Post a Comment