Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 6, 2014

MVUA YA UPEPO DAR KAYA 42 ZAKOSA PAHALA PA KUISHI


DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA WA PILI NYUMA AKIKAGUA NYUMBA ZA WAKAZI WA ENEO LAKARAKATA KATA YA KIPAWA AMBAO NYUMBA ZA ZIMEBOMOKA NA KUEZULIWA NA UPEPO MKALI
MWENYEKITI WA MTAA WA KARAKATA MALICK AKITEMBELEA WAKAZI WALIOATHIRIKA KWA NYUMBA ZAO ZILIZOEZULIWA MAPAA

DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA AKIWA NA UJUMBE WA SERIKA YA MTAA ALITEMBELKEA ENEO HILO 

DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA AKIWA NA UJUMBE WA SERIKA YA MTAA ALITEMBELKEA ENEO HILO

DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONNAH KALUWA AKIWA NA UJUMBE WA SERIKA YA MTAA ALITEMBELKEA ENEO HILO


MOJA YA NYUMBA ZILIZOEZULIWA NA UPEPO MKALI ULIOAMBATANA MVUA KUBWA ENEO LAKARAKATA KATA YA KIPAWA


BAADHI YA MAFUNDI WAKIWA KAZINI KUNDELEA KUFANYA MATENGENEZO YA NYUMA ZAO

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PIA KAIMU MKUU WA WILAYA YA ILALA AKIWANA UJUMBE WAKITEMBELEA BADHI YA NYUMBA ZILIZOPATA JANGA LA KUEZULIWA MAPAA YA NYUMBA


MKUUWA WILAYA YA KINONDONIPIA KAIMU MKUU WA WILAYA YA ILALA JORDNA LUGIMBANA AKIONYESHA MOJA YA NGUZO YA NYUMBA ILIYOATHIRIWA NA MVUAPAMOJA NA UPEPO MKALI NA KUEZUA MAPAA YANYUMBA ZIPATO 42ENEOLAKARAKATA KATA YA KIPAWA JIJINI DAR ESSALAAM LEO

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI NA PIA KAIMU MKUU WA WILAYA YA ILALA JORDAN LUGIMBANA AKIMPA POLE GODBETES ELIASI ALIANGUKIWA NA TOFALI WAKATI MVUA KUBWA NA UPEPO ILIYOEZUIA NYUMBA YAKE KARAKATA

MAMA HUYU ANAEJE ULIKANA KAMA GODBET ELIAS AKIONYESHA SEHEMU YA KICHWANI BAADA YA KUSHONWA HOSPITALI YA AMANA KUTYOKANA NA KUANGUKIWA NA TOFALI WAKATI WA UPEPO MKALI NA MVUA KUBWA ILIYONYESHA JANANA KUEZUA VIPA VYA NYUMBA ZIPATO 42 AMBAZO WAKAZI HAO HAWANA PAHALA PA KUISHI NA  MAMA HUYU ALIANHUKIWA NA TOFALI AKIWA ANAKIMBIA NA MTOTO WAKE MCHANGA BAADA YA NYUMBA YAKE KUEZULIWA KIPAA NA UKUTA KUANGUKA MATUKIO HAYO YAMETOKEA ENEO LA KARAKATA SHAMBA JANA

MAGOMENI KONDOA KARIBU NA DDC

MAGOMENI KONDOA KARIBU NA DDC

TANDALE KWA MTOGOLE

TANDALE KWA TUMBO

ENEOLA BAMAGA MAJIYALIVYOJAA MVUA

ENEO LAMAKUTANO YA BARABARA YA BAGAMOYO NA SHEKILANGO BAMAGA.na MATUKIO DAIMA

No comments:

Post a Comment