Wanainchi wakitazama ajali hiyo,ambayo magari matano yamegongwa na lori iliyofail breki zake
Watu wakijitaidi kuotoa watu waliondani ya basi la uda waweze kutoka nje
Hili basi ambalo limeipandia kwa juu gari nyingine baada ya kugongwa na lori eneo la ubungo.
Ajali mbaya imetokea eneo la ubungo karibu na geti la kutokea mabasi yaendayo mikoani mchana huu.Chanzo cha ajali hiyo ni lori lililopoteza mwelekeo baada ya kufail breki zake na kusababisha kugonga magari matano na pikipiki moja.Bado tunafuatilia kujua kama kuna vifo au la,ila kuna majeruhi wachache
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment