Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 31, 2014

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MABALOZI WA ULAYA

IMG_9076 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_9092 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akizungumza na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini ukiongozwa na Filiberto CERIANI SEBREGONDI,(wa pili kulia)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 
 IMG_9097 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Kiongozi wa Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini Filiberto CERIANI SEBREGONDI,baada ya mazungumzo yao   Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_9102 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Mabalozi wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya nchini walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya  mazungumzo yao,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]


No comments:

Post a Comment