TAZAMA PICHA JINSI HOTEL YA PICOLO KAWE ILIVYOUNGUA
Pichani
juu ni taswira za sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe jijini
Dar iliyoteketea kwa moto leo mchana. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa
ni shoti ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo iliyopo jirani na hoteli
hiyo.
NYAVU HARAMU ZANASWA CHATO, WAZIRI ATOA MAELEKEZO.
-
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetangaza azma ya kuanzisha
chombo maalum kitakachosimamia rasilimali za uvuvi, lengo likiwa ni kulinda
mazao...
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment