Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 19, 2014

TAZAMA PICHA ZA SHEIKH PONDA ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI JANA

Ponda akiwa ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo.
Ponda akiteta jambo na askari Magereza.
...Akiwa na mwanasheria wake.
...Akitolewa nje ya mahakama.
Afisa  magereza na polisi wakijadili jambo nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Ulinzi ulivyokuwa mahakamani.
Sheikh Ponda akiingizwa kwenye basi.
Afisa wa polisi akifanya mawasiliano kuimarisha ulinzi.
Wafuasi wa Ponda  wakiwa mahakamani.
Polisi wakiwa wamedhibiti barabara wakati wa kuondoka kwa Shehe Ponda.


Wakili wa Ponda, Juma Nassoro, akifanya mahojiano na wandishi wa habari nje ya mahakama.(PICHA NA HARUN SANCHAWA NA GABRIEL NG'OSHA/GPL)

No comments:

Post a Comment