Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 20, 2014

WATU 9 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA TRENI KULIGONGA BASI UTURUKI.

baada ya ajali kutokea.
WATU tisa wamepoteza maisha wakati watano wakijeruhiwa baada ya treni la abiria kuligonga basi dogo nchini Uturuki.
Mabaki ya basi yakiwa eneo la ajali.
Basi hilo lililokuwa likiwapeleka wafanyakazi eneo la viwanda mjini Mersin, limegongwa wakati likivuka reli.
Waliopoteza maisha wote walikuwa ndani ya basi dogo ambapo watu watatu kati ya majeruhi wana hali mbaya.
Katika treni hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
Picha zote na Euronews.com

No comments:

Post a Comment