Mwenyekiti
wa Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la
Katiba, Profesa Costa Mahalu (kulia) akiteta na wajumbe wa kamati hiyo
Bungeni Mjini Dodoma baada ya Semina ya Wabunge wa Bunge Maalum la
Katiba kuahirishwa Machi 7, 2014.

No comments:
Post a Comment