Abiria wakioka kwenye gari kupitia madirishani.
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani Jana jioni Aprili 27, 2014.
Kwa mujibu wa shuhuda aliyefika eneo la tukio alisema gari hilo lilipinduka baada ya kuacha njia.
mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio kulikuwa hamna vifo ila abiria walipata majeraha madogo madogo
mpaka chanzo chetu kinaondoka eneo la tukio kulikuwa hamna vifo ila abiria walipata majeraha madogo madogo
CHANZO HABARI NA MATUKIO
No comments:
Post a Comment