Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWS:::::BOMU LALIPUKA ARUSHA KWENYE BAR YA ARUSHA NIGHT PARK NA KUJERUHI WATU WENGI

 Kuna taarifa kwamba Arusha hivi punde watu wamerusha bomu la mkono kweny bar maarufu inayoitwa Arusha Night Park au Matako Bar iliyopo eneo la Mianzini inasemekana watu wawili wamepoteza maisha ila majeruhi ni wengi sana tukio hili ni ndani ya nusu saa iliyopita. Watu kibao walikuwa wanacheki mpira unaambiwa watu wamekatika mikono yaani balaa majeruh ni wengi mno........ Inarepotiwa Hakuna aliyepoteza maisha kuna majeruhi 8 mmoja ndo kavunjika mguu wengine wameumia sehemu za miguuni.

No comments:

Post a Comment