Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 1, 2014

ENHANCE AUTO WATOA ZAWADI KWA MSHINDI WA SHINDANO LA PICHA MTANDAONI

Mr. Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan akizungumza jambo kwenye sherehe ya kumkabidhi mshindi wa shindano la kuweka picha ya kuvutia kwenye mtandao wao

 Ms. Nanae Kitta (a.k.a Nana) wa pili kutoka kushoto akizungumza jambo kwenye sherehe hiyo, wa kwanza kutoka kushoto ni Yuki Kashiwagi (Yuki) ambaye ni manager wa EnhanceAuto nchini Kenya, wa tatu kutoka kulia ni Mr. Aatif Butt, Managing Director, Enhance Auto - Tanzania na wakanza kulia ni Mr. Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan

Baadhi ya wadau waliofika kwenye sherehe hii
Pendo Gondwe, Public Relations Manager, Tanzania Investment Center(kushoto) pamoja na Shingo Kirihata (a.k.a. Mr. Goh), Managing Director wa Enhance Auto - Japan wakiwa wameshika mfano wa ufunguo wa gari aina ya Noah ili kumkabidhi zawadi mshindi wao wa shindano la picha.
Pendo Gondwe, Public Relations Manager, Tanzania Investment Center(kushoto)akimkabidhi mfano wa funguo Mama Kashonda kwa niaba mshindi wa gari aina ya Noah kutoka kwenye kampuni ya kuuza magari ya Enhance Auto
 Mama Kashonda akiwasha gari alilopewa zawadi, mama huyu alipokea kwa niaba ya mshindi ambaye alipatwa na tatizo akashindwa kuika kuchukua zawadi yake
Makusaro Tesha - Media consultant - Enhance Auto akiongea jambo na
Mr. Aatif Butt, Managing Director, Enhance Auto - Tanzania,PICHA NA HABARI KWA HISANI YA DJ SEK BLOG


No comments:

Post a Comment