Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 22, 2014

MADIWANI WA ZANZIBAR NA MANISPAA YA KINONDONI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI












Juzi siku ya Pasaka,Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Zanzibar Wakiwa na watendaji wao walipata Kutembelea mbuga ya wanyama mikumi iliyopo mkoani Morogoro, Muga ya Mikumi ipo kilometa 288 toka mji wa Dar es salaam na mbuga hii ina kilometa za mraba zipatazo 1070 square metre, Katika safari hiyo Ugeni huu ulisindikizwa na Naibu meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh Songoro Mnyonge akiambatana na baadhi ya Madiwani na watendaji katika Manispaa ya Kinondoni. Msafara ulikuwa mkubwa wa costa 3 pamoja na hardtop 3 kweli safari ilikuwa nzuri na wageni wetu toka zanzibar walifurah sana.

No comments:

Post a Comment