Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika eneo la Ukumbi wa Mkutano
leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa sura ya kwanza na
sita ya rasimu ya Katiba mpya. Baadhi
ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mkutano
wakifuatilia mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya
leo mjini Dodoma. Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Goodluck Joseph Ole-Medeye akitoa mchango
wake akiwasilisha katika Ukumbi wa Mkutano leo mjini Dodoma wakati wa
mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) na Mjumbe wa Bunge hilo
Profesa Costa Mahalu(kushoto) wakijadiliana kitu leo mjini Dodoma wakati
wa mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma.
No comments:
Post a Comment