Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, April 14, 2014

PICHA JINSI HALI ILIVYOKUWA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU JIJINI ARUSHA JANA



Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.
Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.


Majeruhi baada ya bomu kulipuka.


Mmoja wa maeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.

No comments:

Post a Comment