Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kalenda kutoka kwa Msajili wa Baraza la Uuuguzi na Ukunga Tanzania Mama Lena Mfalila wakati alipokutana na uongozi wa baraza hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid.Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo April 29, 2014. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif S. Rashid
RC BABU "KILIMANJARO TUPO TAYARI KWA AJILI YA KUANDIKISHA WANANCHI KATIKA
DAFTARI LA MKAZI"
-
NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa maandalizi ya
kuelekea kwenye zoezi la uandikishaji wananchi katika Daftari ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment